JE UMESHAPATA TIBA YA NGIRI...?
UGONJWA WA NGIRI Jinsi ugonjwa wa ngiri unavyoathiri nguvu za kiume Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake. Au kuta hizo kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo. HII SIO BIASHARA HII NI TIBA DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. �Nazo ndizo hizi zifuatazo� 1�Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2�Kupiga mingurumo tumboni. 3�Kujaa gesi tumboni. 4�Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5�Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6�Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa. 7�Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara. 8�Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.9�Nuru ya macho...