JE UMESHAPATA TIBA YA NGIRI...?
UGONJWA WA NGIRI
Jinsi ugonjwa wa ngiri unavyoathiri nguvu za kiume
Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake. Au kuta hizo kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.
HII SIO BIASHARA HII NI TIBA
HII SIO BIASHARA HII NI TIBA
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
�Nazo ndizo hizi zifuatazo�
1�Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2�Kupiga mingurumo tumboni.
3�Kujaa gesi tumboni.
4�Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5�Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6�Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7�Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8�Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.9�Nuru ya macho hupotea taratibu.
10�Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11�Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12�Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13�. Kende (pumbu)moja au mbili kuvimba
14�kende (pumbu) moja au mbili kupotea
15�maaumivu makili juu ya kinena na kwenye kende
16�kujaa upepo semeh ya juu ya kinena
17�kende kujaaa majii
18�Kuwa Na Uume Mfupi
KWA UPANDE WA WANAWAKE
1�Hutokea kuumwa sana na chango asubuhi au jioni au kabla ya kupata siku zake.
2�Husababisha anaenda haja ndogo mara kwa mara kuwashwa sehemu za siri.
3�Anapostarehe (jimai) huona adha na dhiki wala hahisi ladha yoyote na dalili nyingine ni ambazo zimetajwa upande wa wanaume.
TANBIHI
PENDA KUNYWA MAJI MENGI SANA KILA SIKU.
_PENDELEA MLO WAKO USIKOSE MATUNDA NA MBOGAMBOGA._
NJOO UPATE DAWA INAYO MALIZA TATIZO LA NGIRI NA NGUVU ZA KIUME
Je, ngiri huathiri nguvu za kiume?
Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume. Hata hivyo, henia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume - - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata kama moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni. Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.
𝗪𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮si
KUPIGA NI 0683635278
WHATSAAP 0699323937
HAPA NI SEHEMU SALAMA.
Comments
Post a Comment