TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda Vya Tumbo.
Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika kwa uteute wa ndani ya ukuta wa tumbo la Chakula au ndani ya utumbo mdogo wa Chakula na matokeo yake ni ukuta wa tumbo kugusana na tindikali iliyoko tumboni ambayo ni kali sana.
NINI HUSABABISHA
Vidonda vya tumbo husababishwa na maambukizi ya bacteria waitwao HELICOBACTER PYLORI, aidha matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu za jamii ya Nonsteroids anti inflammatory drugs kama vile ASPIRIN /DICLOFENAC huweza kusababisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu,
Vidonda vya tumbo vinaweza kujitokeza katika utumbo mdogo na katika tumbo la Chakula na pia ni Mara chache huweza kujitokeza katika koo la Chakula ambapo hapakukusudiwa kustahimili tindikali ya tumbo.
Dalili za vidonda vya Tumbo
👉Kuchoka choka sana bila sababu maalumu.
👉Kuuma mgongo au kiuno.
👉Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia.
👉Kizunguzungu.
👉Kukosa usingizi au usingizi wa mara kwa mara.
Maumivu makali ya mwili.
👉Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
👉Maumivu wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali.
👉Kichefuchefu.
👉kiungulia.
👉tumbo kujaa gesi.
👉tumbo kuwaka moto.
👉maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
👉Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu au chenye kukatika kama cha mbuzi.
👉Kutapika nyongo.
👉Kutapika damu au kuharisha damu.
👉Sehemu za mwili kupata ganzi.
👉Kukosa hamu ya kula.
👉Kula kupita kiasi.
👉kusahahu sahau na hasira za haraka.
Punguza au acha kabisa vinywaji na vyakula vifuatavyo.
-Chai ya rangi,
-kahawa,
-pombe,
-soda,
-juisi za viwandani,
-Sigara na tumbaku zote,
-Kama wewe ni mpenzi wa kunywa chai asubuhi au jioni basi sijasema usinywe chai,bali unachotakiwa kufanya ni kuchemsha maji yako ya chai na uiunge na ama tangawizi,
mdalasini,mchaimchai,na uendelee na chai yako.
kumbuka kinachoepukwa hapa ni yale majani meusi ya chai ambayo ndani yake huwa na kaffeina na asidi nyingi na hivyo kuwa chanzo cha vidonda vya tumbo.Lakini pia tambua kuwa tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 70 mwilini,hivyo unapokunywa chai ya tangawizi faida nyingine unayopata zaidi ya kuondoa njaa au kushiba ni dawa iliyomo ndani yake, hivyo unashiba huku unajitibu
DAWA IPO NI 45000 DOZI KAMILI
KUPIGA NI 0683635278
WHATSAAP 0699323937
Comments
Post a Comment