DAWA YA BAWASIRI

 


Kifupi kuhusu bawasiri.




Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa.


Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.


Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.


Kuna aina kuu mbili za bawasiri .


1.Bawasiri ya nje


2.Bawasiri ya ndani

 

Bawasiri hii ya ndani ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri ya ndani kutokua na maumivu wakati inaanza.


SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI.


Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;


1.Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano;madereva.


2.Tatizo sugu la kuharisha.


3.Ujauzito.


4.Uzito wa mwili kupita kiasi.


5.Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa).


6.Kupata haja kubwa ngumu.


7.Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.


ATHARI ZA BAWASIRI.


*Upungufu wa damu mwilini

*Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

*kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

*kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)

*kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

*Kupata tatizo la kisaikolojia.


NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI.


*Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi

*kunywa maji mengi lita moja hadi mbili kwa siku.

*Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)

*Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu,kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa


Bei Ya Dawa Hii tsh. 40,000 


Kwa Bawasiri Ya Nje Unapewa na Dawa Ya Kupaka.


𝗪𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 👇🏿

KUPIGA NI 0683635278

WHATSAAP 0699323937


🍀BAWASILI/MGOLO🍀


☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.


☇kwa kiingereza hujulikana kama piles.


☇na kitaalam hujulikana kama haemorrhoids/piles


🍀AINA ZA BAWASILI🍀


👉1. BAWASILI YA NJE

Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika kama Thrombosed haemorrhoid.


👉2.BAWASILI YA NDANI

Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.

☇Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo

👉Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida

👉Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja  na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)

👉Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.

👉 Daraja la 4.  Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.


🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?

👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu

👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa

👉kushiriki penzi kinyume na maumbile

👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.

👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.

👉kuharisha sana kwa muda mrefu

👉kutumia vyoo vya kukaa

👉kunyanyua vyuma vizito

👉mfadhaiko stress

👉uzito na unene kupita kiasi


🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀

👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia

👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa

👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa

👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote

👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu 

👉maumivu makali ya kiuno na mgongo

👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara

👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.

👉kukosa usingizi

👉watu wengine macho kuwa mekundu


🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀

👉upungufu wa dam mwilini 

👉kinyesi kutoka bila kujitambua

👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume

👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

👉kupata tatizo la kisaikolojia 


🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀

👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.

👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku

👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile

👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.


👉MATIBABU👇

MATIBABU YA TATIZO HILI HUHUSISHA UPASUAJI KWA KUKATWA KINYAMA. BAHATI MBAYA NI KWAMBA UKIKATWA BAADA YA MUDA MFUPI KINARUDI TENA NA MADHARA YAKE YANABAKI VILE VILE MAKUBWA CHANZO CHAKE HAKIJATAMBULIWA BADO.


👉👉Tiba inaliyothibitishwa inatoa matokeo mazuri kwa watu wenye matatizo haya ni virutubisho mbali mbali vinavyounganishwa 𝗪𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮si 

KUPIGA NI 0683635278
WHATSAAP 0699323937

HAPA NI SEHEMU SALAMA.

.upate matibabu


Comments

Popular posts from this blog

JE BADO UNATAFUTA DAWA YA KUONGEZA UUME KWA ASILIMIA 100..?

JE BADO UNATAFUTA DAWA YA KUREFUSHA NA KUNENEPESHA UUME..?

TUMIA DAWA HII KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA 100%