Posts

Showing posts from November, 2022

JE.!! BADO UNATAFUTA DAWA YA KUONDOA KITAMBI....?

Image
WANAWAKE NA WANAUME wengi siku hizi wanakabiliwa na tatizo la kuwa na tumbo kubwa kupita kiasi, hali inayosababishwa na mlundikano wa mafuta tumboni. Mlundikano huo wa mafuta hutokea sehemu ya chini ya tumbo na tumbo lote kwa ujumla. Hali hii huwafanya wengine waonekane kama wajauzito kumbe ni mafuta tu yamezidi tumboni. Kwa ujumla ni vigumu mno kupunguza tumbo la namna hii, Kwa Mazoezi Bila Dawa hivyo ni muhimu zaidi Kutumia Dawa za asili zinazoweza kuondoa tatizo hilo na aina ya maisha unayotakiwa kuishi ili kufanikiwa kirahisi kuepukana na adha hiyo. Kitambi kinaweza kuonekana kirahisi kwa macho Nini kinasababisha tumbo kubwa kwa kina mama na Baba....?  Sababu kubwa ya kuwa na mafuta mengi tumboni ni kula vyakula feki (Junk food), kutumia vyakula vya wanga kupita kiasi, kutokunywa maji ya kutosha kila siku, kula chakula kizito muda mchache kabla ya kwenda kulala. Sababu nyingine ni kukaa saa nyingi kwenye kiti, kutofanya mazoezi, kuwa na msongo wa mawazo, kula wali kila siku, ug...