Posts

Showing posts from August, 2022

JINSI YA KUPATA WATOTO WA KIKE AU WA KIUME

Image
TIBA ZA MIMEA ASILIA  KUPIGA NI 0683635278 WHATSAAP 0699323937 JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME.  Ufahamu wa uwezo wa kushika mimba unaweza kutumika pia kwa lengo la kupata mimba ya jinsia inayotamaniwa zaidi. Wanandoa wanaweza kuchagua mtoto wa kiume au wa kike kwa 85% ya hakika wakifanya tendo la ndoa kwa kupanga kulingana na ute wa uke kuwa wa kuvutika na kuteleza au siyo. Ni kwamba jinsia ya mimba inategemea tu kromosomu za mbegu za baba ambazo ni nusunusu: X kwa kuzaa watoto wa kike na Y kwa kuzaa watoto wa kiume. Mbegu zenye kromosomu X ni dhaifu kidogo nazo huogelea polepole, lakini zinaishi muda mrefu. Kumbe zenye kromosomu Y zina nguvu zaidi na kuogelea upesi, lakini hufa upesi. Ili kupata mtoto wa kiume Kwa kuzingatia tabia hizo mbili tofauti,wanandoa wakitaka mtoto wa kiume wanatakiwa kufanya tendo la ndoa siku ya kwanza baada ya kilele (kujisikia kuteleza) na kuendelea kwa miandamo 6 ya hedhi. Kama mwanamke hajapata mimba baada ya miandamo 6, waanze kuonan...